Kikwete aahidi kushughulikia migogoro ya ardhi
Rais wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete amesema kuwa atawakusanya viongozi wa mikoa yote yenye migogoro baina ya wakulima na wafugaji ilikuangalia jinsi ya kutatua matatizo yao na kuhakikisha wakulima na wafugaji wanaishi kwa amani.