Serikali isaidie vijana - ESRF

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Kiuchumi na Kijamii ESRF Dkt Bohela Lunogelo (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dkt Servacius Likwelile (katikati).

Serikali ya Tanzania imetakiwa kuwasaidia vijana kwa kuwapa miongozo ikiwa pamoja na kuwadhamini katika upatikanaji wa fedha ili kupunguza ongezeko la tatizo la ajira nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS