Mnyika kumshtaki Pinda Mahakamani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam Mh. John Mnyika anakusudia kumshtaki mahakamani Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa kosa la ofisi yake kushindwa kutangaza tarehe pamoja na maadalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa.