Saraha kutangaza utamaduni wa TZ
Msanii wa muziki Saraha ambaye anafanya kazi zake za muzik nchini Sweden, amezungumzia ujio wake mpya kupitia kazi inayokwenda kwa jina 'Shemeji' ambayo inatangaza utamaduni na muonekano wa kitanzania, licha ya asili yake ya kizungu.