MICHAEL VICENT

Nimezaliwa mwaka 1997 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 7 Nina kaka 1 na dada 4

Ninaishi na WAZAZI WANGU WOTE WAWILI 

Mtaani kwangu najulikana kwa MASE / MCHINA

Mimi nimesoma mpaka FORM 3 NA BADO NAENDELEA

Shughuliz angu za kila siku(zaidi ya kucheza dansi) ni: NAFANYA KAZI ZA NYUMBANI

 

 

 

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS