Serikali yashitakiwa kwa kuruhusu chanjo feki
Kamati ya Msaada wa Kisheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa madai ya kuhusika katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.