Arusha mwenyeji maonyesho ya kimataifa ya madini
Wafanyabiashara zaidi ya 700 toka nchi mbalimbali duniani, wanatarajiwa kushiriki maonyesho ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha (AGF) yatakayofanyika jijini hapa Novemba 18 hadi 20 mwaka huu.