BARAKA KAMBONA
Nimezaliwa mwaka 1994 wilayani TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 5
Ninaishi KIWALANI MINAZI MIREFU na FAMILIA YANGU
Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE
Shughulizangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: SINA KAZI YOYOTE