Kiswahili kitakuza somo la Hisabati - Mhadhiri Matumizi ya lugha ya kiswahili yamatajwa kuwa moja ya njia zitakazosaidia ukuzaji wa somo la Hisabati nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuwapa wanafunzi hamasa ya kupenda na kulielewa somo hilo. Read more about Kiswahili kitakuza somo la Hisabati - Mhadhiri