AMOS DANIEL

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto5 Nina kaka 3 na dada 1 

Ninaishi MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHEZAJI (DANCER)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUSOMA

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS