WAKATI IDRISA
Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 2 katika familiya watoto 3 Nina kaka SINA na dada NDIO
Ninaishi MAMA na DADA
Mtaani kwangu najulikana kwa DANSA
Mimi nimesoma mpaka FORM TWO
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: SINA ZAIDI YA DANSI