Kili Music Tour: Tanga Burudani tu leo
Siku ya leo jiji la Tanga linatarajiwa kuzizima na burudani kali za tamasha la Kili Music Tour, kwa onesho kubwa la mastaa wa muziki Bongo litakalofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga ambapo milango tayari imekwishafunguliwa kuanzia mida hii .