SHABANI ALLY

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 4 Nina kaka 1 na dada 2

Ninaishi MB / KONGOWE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE

Mimi nimesoma mpaka FORM 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: HAKUNA

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS