ISIAKA KHAMISI RAMADHANI

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1

Ninaish MABIBO na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa B-BOY BOIKI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kiloa siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: MPIRA WA MIGUU

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS