YAHAYA WAZIRI

Nimezaliwa mwaka 1988 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Nina kaka 1

Ninaishi MBAGALA KONGOWE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: HAKUNA ZAIDI YA KUDANCE

 

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS