TAMWA yalia na ukatili dhidi ya watoto

Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake TAMWA Bi. Valerie Msoka.

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA) kimezilaumu taasisi za kidini na asasi zisizo za serikali kwa kushindwa kuwajibika ipasavyo kuzuia vitendo vya ukatili kwa watoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS