Mabaga Fresh Warejea kazini Mabaga Fresh Jukwaani Lile kundi lililotamba miaka ya nyuma katika muziki wa Bongo Flava ambalo liliwahusisha walemavu wenye vipaji wawili na kujipa jina Mabaga Fresh, limeamua kuungana tena katika gemu kwa kuachia wimbo wao mpya. Read more about Mabaga Fresh Warejea kazini