HASSAN SALEHE

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DARE ES SALAAM.

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 5 Nina KAKA na DADA

Ninaishi na MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA TOFFY

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE (4).

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MWALIMU WA DANCE.

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS