Kesi ya Bunge La Katiba kutajwa Septemba 4

Mwandishi wa Habari Saed Kubenea.

Ombi la kuiomba Mahakama kuu nchini Tanzania itoe amri ya kisimamisha Bunge maalumu la Katiba lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea litatajwa Septemba 4 na kuanza kusikilizwa Septemba 15 katika Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS