Bella kuonyesha heshima kwa akina mama

msanii wa muziki wa dansi nchini Christian Bella

Akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja wa Lake Tanganyika kupitia Tamasha kubwa la Kili Music Tour mkoani Kigoma, Christian Bella amejipanga kuonyesha heshima kubwa kwa akina mama jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS