Bunge la Katiba lafafanua kuhusu posho

Spika wa Bunge Maalumu la Katiba Samuel Sitta.

Ofisi ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na kusema taarifa hizo za upotoshaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS