Tanzania yaendelea kung'ara michuano ya FEASSA
Vipaji na kujituma kunakooneshwa na wachezaji wa michezo mbalimbali kutoka Tanzania katika michuano ya shule za sekondari kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki kunawapa matumaini ya kufanya vema katika michuano hiyo msimu huu.