Rais Mstaafu Mkapa alia na ukosefu wa maadili

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu nchini Tanzania, Mh. Benjamin William Mkapa.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu nchini Tanzania Mh. Benjamini William Mkapa amesema tatizo la maadili kwa viongozi na watumishi wa umma halijapewa uzito unaostahili katika kulidhibiti na hivyo kusababisha wananchi kukosa huduma muhimu na za msingi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS