Kikwete kufungua vikao Bunge la Afrika Mashariki

Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania kesho anatarajiwa kufungua mkutano wa kwanza na kikao cha tatu cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kitakachofanyika jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Karimjee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS