Serikali yatakiwa ichunguze mauaji ya albino

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto nchini Tanzania Bi. Sophia Simba.

Tume ya haki za binadamu na utawala Bora nchini Tanzania imeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini wanaochochea, kufadhili na kutekeleza vitendo vya maujaji na ukatili dhidi ya watu wenye albinism.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS