Dabo kuwania tuzo kimataifa
Msanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za muziki za International Reggae and World Music.