Wadau kukutana kujadili uhalifu katika mtandao
Serikali ya Tanzania imeandaa mjadala wa wadau wa mawasiliano ili kujadili kuhusu udhibiti wa uhalifu wa mtandao kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watumiaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano nchini.