Tanzania yataka ifidiwe mabadiliko ya tabia nchi
Tanzania kesho itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa mawaziri wa mazingira na mambo ya nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabia nchini, ambapo Rais Jakaya Kikwete ndio mwenyekiti wake.