Kili Music Tour yakata kiu ya mashabiki Kigoma

Kiu ya burudani ya wakazi wa Kigoma juzi ilikatwa na wasanii 10 waliomo katika Kili Music Tour inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro baada ya kupanga nyimbo kali tupu jukwaani hali iliyosababisha tamasha kuchangamka kuanzia mwanzo hadi mwisho

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS