Sekta binafsi kiini cha uchumi Afrika Mashariki
Imeelezwa kuwa nchi nyingi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati zinapata pato kubwa katika shughuli zake za kiuchumi kupitia sekta binafsi tofauti na miaka ya nyuma ambapo fedha hizo zilitokana na makusanyo ya serikali pamoja na fedha za wahisani.