ADC yatoa tahadhari kuhusu usalama
Viongozi wa serikali na vyama vya siasa nchini Tanzania wametahadharishwa kuwa makini na suala la mchakato wa Katiba mpya, kutokana na suala hilo kuwa na mgawanyo wa makundi ambayo yanaweza kuvuruga umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania.