Wasanii wa Tongwe wamuenzi Marehemu Jaji Makame
Wasanii wa muziki wanaofanya kazi chini ya studio ya Tongwe Records, wamechukua hatua ya kumfariji mtayarishaji muziki J Murder kwa kuondokewa na baba yake, Jaji Lewis Makame kwa kutunga wimbo wa maombolezo.