Melone asimama kuhamasisha Muungano

Melone

Kutokana na kuwepo kwa mjadala mkubwa kuhusiana na swala la Muungano wa nchi ya Tanzania kwa sasa, wasanii wa muziki Melone na Mo Brigt wameamua kutengeneza ngoma ya pamoja ambayo ina lengo la kuhamasiha watanzania kudumisha muungano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS