Yanga yanaswa Morogoro/Azam fc ikichanua Chamazi
Timu ya soka ya Dar es salaam Yanga SC imeanza vibaya ligi kuu ya soka Tanzania bara baaada ya kupokea kipigo cha mabao 2-0 toka kwa wenyeji woa timu ya soka ya Mtibwa Sugar katika mchezo mkali uliopigwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro