Askofu apongeza juhudi za wavuvi ajali ya ndege
Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki Bukoba, Method Kilaini amepongeza ushirikiano uliooneshwa baina ya wavuvi na serikali wakati wa zoezi la uokoaji wa wahanga wa ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea Novemba 06, 2022 mkoani Kagera.