Octopizzo awapa shule wakimbizi
Kutoka nchini Kenya, Rapa Octopizzo ameendelea na shughuli zake za hisani kutembelea kambi za wakimbizi kufundisha, kuhamasisha na kuwajenga vijana katika kambi hizo hususan katika nyanja za sanaa hususan muziki pamoja na michezo.