Dk. Mengi awataka viongozi kuhamasisha jumuiya.
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dk.Reginald Mengi amesema viongozi wa nchi wanachama wanapaswa kuhamasisha muamko na hamasa ya ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa wananchi ili kufikia malengo yake pamoja na kudumisha jumuiya.