Cindy kunyang'anywa gari na Mario

msanii Cindy wa Uganda na Mario wakiwa na mtoto wao Amani

Ugomvi uliopo kati ya wasanii Cindy Sanyu na Mario Brunette ambaye ni baba mtoto wake, umechukua sura mpya baada ya Mario kutishia kumnyanganya msanii huyu gari ambayo alimpatia kipindi ambacho walikuwa wakiishi pamoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS