Banda afungiwa kucheza soka mwaka mmoja
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umemfungia aliyekuwa beki wa kushoto Abdi Banda kucheza mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kukosa nidhamu na kusaini mikataba katika vilabu viwili tofauti.