Nicki, MwanaFA waoneshana Uwezo East Africa Radio
Msanii wa muziki Nicki wa Pili na MwanaFA wameweza kupata nafasi ya aina yake kuonesha uwezo wao wa juu wa kufikiri, na hii ni kupitia Kipindi cha Radio cha The Cruize cha East Africa Radio jana ambapo Nicki kama Mtangazaji alimhoji MwanaFA.