Tani 7 za Vipodozi feki zateketezwa

Tani 7 za vipodozi vinavyodaiwa kuwa na viambata vyenye sumu vimeteketezwa kwa moto katika dampo la mwang'ombe lililopo jijini Tanga kufuatia wakaguzi wa idara ya afya kufanya msako mkali na wa kushtukiza

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS