Desmond apiga picha Kenya Muigizaji wa filamu wa Nigeria Desmond Elliot Mwigizaji maarufu kutoka Nigeria, Desmond Elliot amekuwa nchini Kenya kwa ajili ya kazi ya kupiga picha za tamthilia mpya ambayo inabeba visa mbalimbali vya kumulika masuala ya siasa na rushwa katika jamii. Read more about Desmond apiga picha Kenya