Man Kassu kuja na ujio mpya
Msanii anayefanya muziki wake wa kiasili na kiafrika zaidi aliyeweza tamba na kichupa chake maarufu kilichobatizwa jina 'Akateka', Man Kassu arudi na ujio mpya alioubatiza jina Man Kassu The Power, Man Kassu The Imaginator.