Tiwa aeleza alivyonyanyaswa msanii wa muziki nchini Nigeria Tiwa Savage Msanii wa muziki Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa, amewahi kukumbana na changamoto kubwa ya kuonewa na wenzake kipindi akiwa mtoto, kutokana na asili yake ya uafrika. Read more about Tiwa aeleza alivyonyanyaswa