Wizara ya kazi na ajira yawaonya mawakala wa ajira
Waziri wa Kazi na Ajira Bi. Gaudensia Kabaka.
Wizara ya Kazi na Ajira nchini Tanzania imepiga marufuku tabia ya baadhi ya makampuni ya uwakala wa ajira kuwa na mamlaka ya moja kwa moja kuhusu ajira na maslahi ya watu wanaowatafutia ajira.