Safu ya ushambuliaji Simba yageuka Tishio NBC PL Leonel Ateba, Steven Mukwala na Jean Ahoua Simba SC ndio timu pekee ambayo ina wachezaji Watatu wa safu ya ushambuliaji ambao wamefunga magoli 10+ Ligi Kuu ya NBC. Read more about Safu ya ushambuliaji Simba yageuka Tishio NBC PL