UTT MFI yatangaza neema kwa wajasiriamali
UTT Microfinance Plc leo imezindua rasmi mtandao wa matawi yake sehemu mbalimbali nchini kwa lengo la kuwafikishia karibu zaidi huduma za kifedha hususan mikopo nafuu kwa wajasiriamali uzinduzi ulioongozwa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.