Polisi yaja na mkakati kudhibiti mauaji ya albino
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetangaza kuanza operesheni ya kusambaratisha mitandao inayotumika kuratibu mauwaji ya watu wenye albinism ikiwa ni siku chache baada ya kuripotiwa kuongezeka kwa matukio hayo nchini.