Rais Kikwete aanzisha ujenzi Daraja la Kilombero
Historia imeandikwa jioni ya jana, Jumatano, Agosti 20, 2014 katika Mkoa wa Morogoro na katika Tanzania. Kwa mara ya kwanza tokea enzi na enzi, magari yameweza kuvuka Mto wa Kilombero, moja ya mito mikubwa zaidi nchini.