Benki ya PTA yautabiria mema uchumi wa Tanzania Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa PTA Bank Bw. Admassu Tadesse. Benki ya Maendeleo kwa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika ya PTA Bank imesema Tanzania ina fursa kubwa ya kunufaika kiuchumi iwapo itatumia vizuri mikopo inayotolewa na benki hiyo. Read more about Benki ya PTA yautabiria mema uchumi wa Tanzania